+255 765 073 073
info@mapachaict.com

Digital Invitation Cards & RSVP Management

Rahisisha shughuli yako kwa kutuma kadi za kidijitali na kusimamia mahudhurio ya wageni wako kwa kutumia mfumo wetu wa kisasa wa kadi zenye QR Codes.

Get Started Now
Process

Hatua ya 1: Sajili Shughuli Yako

Jaza fomu ya usajili na uchague package inayofaa kwa ajili ya shughuli yako. Mfumo wetu utatengeneza kadi zenye muonekano wa kipekee na QR Code kwa kila mgeni.

Scanning

Hatua ya 2: Tuma na Skani

Tuma kadi kwa waalikwa wako kupitia WhatsApp au SMS. Siku ya shughuli, timu yetu au yako itascan QR Code za wageni mlangoni ili kuthibitisha mahudhurio yao papo hapo.

Packages & Pricing

Chagua package inayokidhi mahitaji ya shughuli yako.

Standard

2,000/= kwa kadi
  • Kutengeneza Kadi za Kidijitali
  • QR Code kwa kila mgeni
  • Usimamizi wa Scanner
  • Ripoti ya Mahudhurio (PDF)
Sajili Sasa

Premium

3,000/= kwa kadi
  • Huduma zote za Plus
  • Mpangilio wa Meza (Table Arrangement)
  • Wahudumu (Ushers) wa kuscan
  • SMS za Shukrani baada ya shughuli
Sajili Sasa